Folota Rubber Stamp
Senior Member
- Feb 21, 2018
- 150
- 101
Epuka usumbufu wa kuchomeka na kuchomoa mara kwa mara, kwa kutumia cable hizi za kisasa za sumaku.
Sifa zake:
> Zimetengenezwa kwa material ngumu na hivyo ni zinadumu muda mrefu
>Zina support charge & data transmission
> Urefu ni 1 metre
> Zina support Fast charging
> Unaweza kutumia mkono mmoja tu kuwezesha simu yako ipate chaji
> Ina connect kwa pande zote mbili (Kwa lugha nyingine unachomeka upande wowote hamna tatizo la kugeuza)
Napatikana Dodoma mjini
Mawasiliano 0712132888
Kwa waliopo maeneo ya mjini mnaweza kuletewa
Bei 30,000/=
Zimebaki pc chache
Rangi zilizopo : Black & Silver
Kwa iPhone na Type C Zitakuja muda si mrefu
Mnaweza angalia video hii jinsi zinavyo operate