Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu naitaji Dalali mzoefu anaepatikana kigamboni Nina Shamba langu la hekari tano kigamboni kwa chaurembo njia ya kwenda buyuni Nataka kuliuza so kama kuna dalali ambae naweza kufanyanae...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jaman specifications online..haina shida yyte..laki 5 tu.
0 Reactions
2 Replies
601 Views
Wakuu natafuta mtu mwenye pressure washer ambayo hana matumizi nayo kwa sasa. Iwe ya mafuta Nitalipa kwa wiki/mwezi Niko Tabata Iwe anafanya kazi Mazungumzo zaidi njoo PM, namba yangu ni 0658584706
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Haya hiyo.apo ipo kwenye good condition laki 5na nusu ina mwezi tu. Dar 0713099309
1 Reactions
0 Replies
706 Views
Nina problem flani nauza laptop yangu HP, ram 4 ,64bit,core i5,500HD . Laptop ni nzima haina tatizo lolote. Nipo Dar. Bei 350,000 karibuni sana
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Nauza kiwanja changu kipo mbagala msongola kinasifa zifutazo Ukubwa miguu 20 *20 Kipo pembezoni na bara bara ya mtaa Huduma za afya na shule zipo karibu Kipo tambarale kabisa Umeme upo Maji yapo...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Chumba chenye hali nzur 0713099309
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Habari za jioni wanajamvi Niliona wale SUMA JKT kwenye TV wanatengeneza miradi ya ufugaji samaki kwenye matenki ni technologia nzuri niliipenda ila bahati mbaya hawakuweka namba zao za simu naomba...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Kiwanja kina ukubwa wa 25 kwa 25,kuna barabara za mtaa na open space.Kipo Mapinga.Milioni 5 na nusu...karibu PM
0 Reactions
9 Replies
1K Views
nilinunua kimakosa haiko supported kwenye mac kama uko serious ni pm bei 20k logistic jinsi ya kuipata tutaongea karibuni. Ni 4G.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu poleni na mihangaiko ya hapa na pale ya kujikwamua na maisha haya ya kukaza kwa vyuma... Niende katika kusudio langu, nahitaji chumba na sebule mitaa ya buza kanisani. Bajeti...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wandugu nilisikia kuna kampuni ya Wakorea fulani hivi wanakopesha mashine za kutolea photocopy lakin sijajua vizuri wako wapi naomba anayejua anisaidie au kama kuna kampuni inafanya hyo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa ambaye anayopower supply tuwasiliane weka na bei 0752048709 model mpya 2 dual-core njia tatu
0 Reactions
5 Replies
996 Views
Mbao ngumu(mninga) 4" kwa 6" Tsh 130,000/= Dsm.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari Wakuu Nina Bajet ya laki nne (400000) Nahitaji Simu yenye Sifa zifuatazo Storage..ianzie 32GB RAM... Ianzie 3GB Nipo kanda ya ziwa.. Karibuni.
0 Reactions
4 Replies
816 Views
Habari akina kaka,natafuta mtu wa kufanya subtittles za English kwenye video ya kiswahili aje PM niwekee mawasiliano yako,
0 Reactions
2 Replies
719 Views
Habari wanabodi natumaini wote ni wazima wa afya njema, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu karibu utanganze biashara yako na kulunzifikra media kwa bei nafuu kabisa kama kweli unataka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habar... ninauza Nissan patrol yangu kwa bei rahisi sana. Lakin pia kama una gari ndogo ambayo uko kwenye hali nzur tunaweza kuelewana tu. Gari ina tatizo kidogo kwenye bodi so inahitaji repairs...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…