malkiamrembo JF-Expert Member Joined Mar 29, 2015 Posts 386 Reaction score 231 Apr 8, 2018 #1 Habari akina kaka,natafuta mtu wa kufanya subtittles za English kwenye video ya kiswahili aje PM niwekee mawasiliano yako,
Habari akina kaka,natafuta mtu wa kufanya subtittles za English kwenye video ya kiswahili aje PM niwekee mawasiliano yako,
byeyombo JF-Expert Member Joined Sep 3, 2015 Posts 4,314 Reaction score 5,570 Apr 8, 2018 #2 Kutafsiri ama kuweka hizo tafsiri kwenye video?
malkiamrembo JF-Expert Member Joined Mar 29, 2015 Posts 386 Reaction score 231 Apr 8, 2018 Thread starter #3 Kuweka tafasiri kwenye video.ni kiswahili so nataka maneno ya kiingereza chini