pekin ducks,au bata mwenye nyama na mtamu zaidi,ni bata anayetaga mayai mengi na mwenye faida sana.bei pair ni Tsh 230,000/- yaani dume na jike.tuwasiliane 0713246244.napatikana mbezi beach njia...
JAMANI HII FAIDA KWANGU NA KWAKO PIAKAMA UNAGALI LOLOTE DOGO AMBALO LIPO KWENYE HALI INZURI KAMA , , SPACIO,CARINA, R, RACTIS, IST, VITS NKMIMI NI DEREVA WA UBER NAHITAJI TUANDIKISHANE MKATABA KWA...
Nauza laptop kwa bei ya kutupwa kutokana na ukata unaonikabili.
SPECIFICATION
Processor 2duo core
Ram 4gb
Hdd 250
Dvd rw
Bei ni sh 270,000 maelewano yapo kwa seriously buyer kwa mawasiliano...
Poleni na majukumu. Wadau nahitaji fremu ya biashara maeneo ya mwenge na makumbusho stendi, au mitaa iliyochangamka yenye mzunguko wa watu sana kama shule, makanisa,hospitali n.k Aliye na...
Habari zenu wapendwa nashona mabegi yenye picha mfano watoto WA shule naweka picha yake Jina na cartoon anayopenda pia mabegi ya company au shirika karibuni Sana
What's aap au call 0716973403
Je wewe ni fundi wa welding,mwenye uwezo wa kutumia TIG na MIG welding machine . Una ujuzi wa kutengeneza grills za madirisha , milango, vitanda pamoja na mageti . Je na uwezo wa kufanya kazi...
Habar wakuu
Nimekuwa nikifuatilia sana juu ya uuzaji wa vifaa vya eltrinia zenji lakin watu wanaofanya biashara hii wamekuwa hawatak kusema ni wap wananunulia kwa zenji.Naomb kufahamishwa wap...
Nauza mini laptop aina ya acer aspire one kwa sh 140,000/= yenye sifa zifuatazo
HDD: 160GB
RAM: 1GB
PROCESSOR: intel atom @1.6ghz
BATTERY CAPACITY : inakaa na chaji kwa masaa matatu kwa matumizi...
Habari! Wakuu kama kichwa kinavosema hapo juu ombi lenu kwenu kama kuna wtaalamu waje na offer zao nina mteja anahitaji hii huduma,mazingira ya kufunga hiyo camera yako hivi ni Saloon ya room moja...
Kuna Jamaa nimeona wakitangaza App na Website yao ya www.becapi.com na app yao kwa jina la BECAPI. Nimependa vitu vilivyomo ila naogopa Kulipa kwani wanasema unalipa then wanakuletea Bidhaa mpaka...
Habar za saizi members hii ni Ofa kabambe kwa wenye biashara zao yaani tsh 3000 tu kwa tangazo Moja ambapo naweka matangazo kwenye account yangu ya Facebook ijulikanayo Daud Augustine hii akaunt...