BECAPI (Buy and Sell Online)

BECAPI (Buy and Sell Online)

mboni1981

Member
Joined
Mar 5, 2018
Posts
12
Reaction score
6
Kuna Jamaa nimeona wakitangaza App na Website yao ya www.becapi.com na app yao kwa jina la BECAPI. Nimependa vitu vilivyomo ila naogopa Kulipa kwani wanasema unalipa then wanakuletea Bidhaa mpaka ulipo. Na Muuzaji wanasema hapewi Fedha uliyolipa mpaka wafanyakazi wao wachukue bidhaa uliyolipia.

Waungwana fuatilieni kujua Ukweli na Uhalili wa Hawa Jamaaa isije kuwa Kimeo maana haya mambo ya 1.5trn yametushitua.
 
Back
Top Bottom