Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Je unahitaji mafundi bora na waaminifu katika kujenga nyumba yako kwa bei nafuu? Nzuguni Builders Group tunatoa huduma ya kukujengea nyumba, kufanya finishing zote, kukukadiria gharama za ujenzi...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Seagate external, 3Terabyte. Ilinunuliwa mwishoni mwa mwaka jana, imetumika mara moja tu so condition yake ni excellent. Ina charger na USB yake. Bei 280k Kama uko interested call or text 0652640205
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa bei nafuu tuna design blog na kuweka template nzuri bei zinaanzia tsh 20000_45000 Wasap 0758217840 Au. 0716634548 Pia tunafundisha blogging kwa bei nafuu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
*BRAND NEW ANDROID USB CABLES IN TOWN* Kwasasa mzigo unapatikana DAR ES SALAAM, ARUSHA, MOSHI NA DODOMA kwa shilingi 5500 tu. Call 0753063142, 0687418839, 0653316087 Whatsapp 0687418839
0 Reactions
0 Replies
536 Views
Wakuu wa jukwaa pendwa na mahiri, naombeni msaada wenu wa aina nzuri ya vinyl cutter pamoja na bei yake na mahali pa kuinunua hapa Tanzania. Asanteni.
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Ni shule ya mseto inamilikiwa na kanisa katoliki jimbo la Musoma,tunazo kumbinations za PCM,CBG,HGL NA PCB.SHULE IKO UMBALI WA KM 16 KUTOKA MUSOMA MJINI.INA HUDUMA ZA HOSTELI,UMEME NA MAJI.KWA...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari jamani, nipo Iringa, ninauza mbegu bora za vitunguu maji vyekundu. KARIBUNI
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu anayehitaji vifaranga vya kuku aina ya Rainbows kutoka Uganda. Kifaranga cha siku moja ni sh 2,500/- na cha mwezi mmoja ni 6,000/-. Sifa za Rainbows. 1. Wanaanza kutaga wakiwa na miezi 4 2...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Kwa mafundi wa Friji na yeyote mwnye Uhitaji, Ninauza Machine ya friji (compresor na vifaa vyake vyote) Bidhaa hii ipo kwenye hali nzuri kama Friji lako liliharibika machine yake basi jipatie hii...
0 Reactions
1 Replies
917 Views
Bajaji pichani inatembea,haina tatizo Bei mil 3. Maongezi yanaruhusiwa nicheki 0762364074
1 Reactions
10 Replies
2K Views
.
0 Reactions
0 Replies
607 Views
  • Closed
Amani kwenu wadau, Kuna subwoofer aina ya rising na king'amuzi cha star times zipo sokoni anayehitaji anichek pm au mawasiliano 0754669580. Location: tabata dsm Subwoofer ina blueooth, aux, fm...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Napangisha chumba ni self kipo mtaa wa Ghana karibu na Rock city mall mwanza kodi ni 70,000 unalipa kuanzia miezi miwili. Piga 0762 282526
1 Reactions
0 Replies
614 Views
Mzigo wa mtumba First Grade Zipo HP, Dell, toshiba, lenevo HP Elite book HDD 500GB Core (R) 2 Due Ram 4GB Bei 360,000/= **************** DELL Core I5 HDD 320 Ram 4GB Bei 400,000/= Zipo katika...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tunakopesha na kuuza sola za manyumani kwa ajili ya kuwasha taa Tv redio ya boom box mashine za kunyolea kwa bei rahisi zaidi kutoka ZOLA nipigie 0654609122 waranty ni miaka 5
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuu naombeni msaada wapi naweza kupata mashine inayotumika kakata nyama mabuchani ya umeme na bei zake ni kiasi gani
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Wadau natanguliza shukrani zangu Nipo Moshi na ninaitaji shamba lenye ukubwa wa hekari 20 za kununua na shamba ilo liwe na maji na lisiwe porini sana Kwa mwenye kufahamu namkaribisha kwa ajili ya...
1 Reactions
60 Replies
8K Views
Processor i3 hdd 320GB ram 4GB pia ni potable modell 210. Mpya sio used. Bei 540,000. Tunasafirisha.
0 Reactions
1 Replies
591 Views
Kama kichwa kinavyosema,nina Tata pickup nataka niibadilishe body niweke lenye fridge.Kama unalo/unajua jinsi ya upatikanaji wake nicheki 0752049729
0 Reactions
3 Replies
694 Views
Sehemu ni vijibweni...apartment haijawahi kukaliwa ni mpya ujenzi wake umekamilika.... Apartment hiyo Ina master bedroom1,Ina room ya Kawaida,public toilet n'a bafu,jiko,sitting room....Ina...
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…