Natafuta turubai au mwamvuli mkubwa kwa ajili ya kivuli nyumbani

ngonyango

JF-Expert Member
Aug 7, 2017
1,883
1,599
Wadau
Nahitaji mwamvuli mkubwa au turubai la kufunga nje ya nyumbani kwa ajili tu ya kuzuia jua au mvua ambapo watu wanaweza kukaa comfortably.Sehemu ninayokaa kuna upepo mwingi wakati mwingine
 
Back
Top Bottom