frank mayige
Member
- Jan 5, 2013
- 61
- 11
Wadau watoa mikopo kwa riba nafuu naomba mkopo tajwa hapo juu nimepata tatizo la ghafla marejesho ni mwisho wa mwezi huu yaani tarehe 30/5/2018, napatikana dar.
kama nini mkuu nicheki 0675663282 tuongee mkuuKizuri chako kinakuokoa wakati wa shida
Huna cha kuweka dhamana tuangalie tunafanyaje
Utalipa 150000 na bondi uweke kitu chenye thamani hyo.Nichek 0654865376Wadau watoa mikopo kwa riba nafuu naomba mkopo tajwa hapo juu nimepata tatizo la ghafla marejesho ni mwisho wa mwezi huu yaani tarehe 30/5/2018, napatikana dar.