dae mok Senior Member Joined May 6, 2018 Posts 154 Reaction score 783 May 12, 2018 #1 Bati zinauzwa kwa bei poa kabisa ya shilingi 270,000/ kwa bandari moja. Ukubwa wa bati hizo ni: 1. futi 8. 2. Geji 30. Mwenye kuhitani njoo inbox.
Bati zinauzwa kwa bei poa kabisa ya shilingi 270,000/ kwa bandari moja. Ukubwa wa bati hizo ni: 1. futi 8. 2. Geji 30. Mwenye kuhitani njoo inbox.
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,325 Reaction score 9,532 May 12, 2018 #2 Mkuu tueleweshe vizuri,bandari inakuaje?,zinakaa ngapi??na ni aina gani??
dae mok Senior Member Joined May 6, 2018 Posts 154 Reaction score 783 May 12, 2018 Thread starter #3 Zeus1 said: Mkuu tueleweshe vizuri,bandari inakuaje?,zinakaa ngapi??na ni aina gani?? Click to expand... Bandari ni package ambayo inakuwa na jumla ya bati 19. Aina ya bati nilizonazo ni chapa ya kiboko.
Zeus1 said: Mkuu tueleweshe vizuri,bandari inakuaje?,zinakaa ngapi??na ni aina gani?? Click to expand... Bandari ni package ambayo inakuwa na jumla ya bati 19. Aina ya bati nilizonazo ni chapa ya kiboko.
C Capt Tamar JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 13,228 Reaction score 18,393 May 12, 2018 #4 Upo wapi?hakuna size nyingine tofauti?
dae mok Senior Member Joined May 6, 2018 Posts 154 Reaction score 783 May 12, 2018 Thread starter #5 Sina size nyingine tofauti. Napatikana kigoma.