Tunachora ramani za nyumba aina zote.
Tunatoa ushauri wa ujenzi nk.
Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako.
karibu sana.
0654919121
0658919121
Karibu ununue bidhaa za asili za (Natural Products)
Tunauza Mafuta ya nazi pure na organic kwa bei ya jumla na rejareja
Pia tunauza mafuta ya nazi yaliyochanganywa na mchaicha na Rosemary mazuri...
Eneo liko Kimbiji-Kwa Moris,km30 kutoka Kigamboni.Ukubwa wake ni mita20 kwa22.
Eneo liko karibu na barabara kuu na njia panda kwenda ufukweni(beach).
Ni panafaa sana kibiashara,hasa kujenga...
Toyota Wish
Year : 2004
Engine capacity : 1990cc
Trans : Auto
Drive : 2wd
Chassis No. ANE11-0024352
Other : AB ABS AERO RS FOG HID NV B-MONITOR
Grade : Z
Gharama yakuagiza pamoja na ushuru : Tzs...
Habari za muda huu wana JF.
Mimi ni sales representative wa kampuni ya Bima.
Napenda kuwatambulisha huduma ya bima ya afya inayoitwa AFYA WOTE.
Hii ni bima ya afya inayotolewa mahsusi kwa...
Habarini?
Nahitaji Nyumba ya kupanga ndani ya jiji la ARUSHA maeneo ya Sakina itapendeza zaidi iwe na vitu hivi:
1. Inajitegemea peke yake kuanzia lango kuu la kuingilia na uzio wake.
2. Iwe na...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,ninatafuta mahali pa kuuzia choroko yangu ambayo naikusanya kutoka vijijini kwa kipndi hiki.
Mtaji wangu si mkubwa sana lkn nina uhakika wa angalau tani tano...
Kama upo arusha nahitaji usb wire zenye urefu wa mita 1 na kuendelea nahitaji 5 pieces
Au nikipata earphone za samsung kama piece 5 uniuzie kwa bei ya jumla kuanzia piece 5
Njoo pm kama unazo...
Habari wakuu,nauza mkaa gunia elfu 40,mkaa safi kabisa wa porini nauza bei ya jumla hata kwa gunia moja.Karibuni sana niko!!! Kama unahitaji njoo dm tuyajenge.
Habari. Naitaji kama kuna mwenye taarifa za upatikanaji wa mashine za kutenganisha mchele na uchafu mwingine haswa mawe.
Naitaji kujua yafuatayo;
Kuna kampuni inayouza hizo mashine tanzania...