PoaIST ISIWE IMECHOKA SANA WADAU
Ninayo CKC lakini siuzi inaniingizia hela za UBER maisha yanaendelea mjin apaDah nilivyoanza nikajua unayo sawa asante
Ulizia garage yoyote yenye ubora mtaani kwako au karibu,ulizia fundi ambaye yuko vizuri,mueleze shida yako kuwa ni kununua gari ila unahitaji fundi ili akuthibitishie ubora wake,mtakubaliana malipo kidogo basi kazi imekwisha..Nampataje mkaguzi unaweza nisaidia