Mbwa mkali anauzwa; Bei maelewano

desiigner

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
520
229
Jf,

Mbwa mkali kwa ajiri ya ulinzi wa nyumba na mashamba anauzwa kwa bei rahisi kabisa. 20,000/= tu.
NiPM kwa wateja serious.

2018-06-03 15.57.36.jpg

2018-06-03 15.59.10.jpg
 
Na ndugu yangu ana mbwa wa 4 wa kijerumani sijawah kuona raha yake, mbwa akisha funguliwa wote hamna kutoka nje zaidi ya yule anaewahudumia
 
shikaa shikaaa ,kamata kamataa

hamna mbwa hapo ... em chukua buku jefero nipe hiyo nyama (MHEHE MIMI)
 
Back
Top Bottom