MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,052
- 749
PM mkuu. Nauzalisha kiwandani huo mbadala.Asante mkuu, mie ningependa kupata mkaa mbadala sio huo wa porini je wapi ntaupata?
Mkuu, hebu acha kuharibu mazingira.Habari wakuu,nauza mkaa gunia elfu 40,mkaa safi kabisa wa porini nauza bei ya jumla hata kwa gunia moja.Karibuni sana niko!!! Kama unahitaji njoo dm tuyajenge.
Hao wenyewe wanaharibu uchumi wa nchi acha na sisi tufyeke mapori tujikimu.C.C january Makamba
Ana kibari?acheni kujifanya mnajali mazingira wakati most of us bado hiyo gesi asilia tunaisikia tu na mkaa mbadala bado haujatufikia.
Hivi kweli bado una waamini wana siasa?eti gesi asilia!!!mkaa/kuni na umasikini ni vitu vina vyokwenda sambamba sio leo wala kesho ambapo watanzania asilimia kubwa watatumia gesi!!hizo ni siasa tu!!Mkuu, hebu acha kuharibu mazingira.
Jaribu kuanza kufikiria kuanzisha biashara nyingine cz sasa hivi tutahamia ktk nishati mbadala (gesi asilia).
kibali kinahitajika kwenye kusafirisha mkaa tu sio kwenye kuuza. ukishafika mjini huo ni halali unauzwa tu bila kibali.Ana kibari?
Wapi unapatikana?Habari wakuu,nauza mkaa gunia elfu 40,mkaa safi kabisa wa porini nauza bei ya jumla hata kwa gunia moja.Karibuni sana niko!!! Kama unahitaji njoo dm tuyajenge.
Una kibari?
Mkuu, hebu acha kuharibu mazingira.
Jaribu kuanza kufikiria kuanzisha biashara nyingine cz sasa hivi tutahamia ktk nishati mbadala (gesi asilia).
Subirini mletewe madawati hapo mlipo mkuuDaaah sisi tunawaza *Miti ilivunwa lakini madawati hamna* kumbe shida ni nyie
NdiyoUna kibari?
una vibali vya maliasili mkuu?