Wapi nitapata Swiss Gear BackPark

Wapi nitapata Swiss Gear BackPark

Chimemena

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,376
Reaction score
454
Salaam Wadau wa JF, Poleni na kazi za kutwa nzima!

Tafadhali naomba msaada, eti ni sehemu gani hapa Dar naweza kupata hizi begi za Swiss Gear.

Nahitaji tatu kwa matumizi binafsi na kwa familia sio biashara.

Shukrani.
 
Back
Top Bottom