Nahitaji msichana wa kazi za ndani kutokea kijijini asiwe ambaye ameshakaa mjini umri uwe miaka 22-30 atafanya kazi za ndani kwa uaminifu, mshahara sh 70,000 asiwe mfupi maana wana hasira sana, awe muislam ila mimi mkristo, hata kama hajui kupika atafundishwa kwanza na kuelekezwa. kazi ataifanyia Moshi.
ASIJE NA MTOTO NA ASIWE AMESHAZAA ILI KUEPUKA KILA MARA KUITWA NYUMBANI KWAO. AWE TAYARI KUENDESHA MAISHA YAKE MWENYEWE.
Atalipiwa nauli ila akifika tutamrudishia aliyemlipia maana wametulia pesa wakidai anakuja na haji