Mzee baba c utaseti simu yako kwa mlio maalum wa sms zao.Mkuu mngeboresha kutoka kutuma sms kwenda kupiga alarm kabisa maana mara nyingi mlio wa sms sio rahisi kumuamsha mtu aliye usingizini.
Dah!!!sawa mkuu hata sikulifikiria hili.Mzee baba c utaseti simu yako kwa mlio maalum wa sms zao.