Nyumba Inapangishwa

Nyumba Inapangishwa

amu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
16,143
Reaction score
31,298
Ipo Mwananyamala Komakoma Pembeni Ya Kanisa Anglican,lami mpaka mlangoni,kuna parking geti,maji vyumba viwili vya kulala sebule kubwa,jiko choo cha ndani
 
Maji,umeme,nje kuna mlinzi parking ya kuingia magari 3 ipo barabarani lami mpaka mlangoni,,kodi laki 3 kwa mwezi inatakiwa ya mwaka na ya dalali,i wasiliana nami 0689137585
 
Hapo kwenye picha sasa,sijui kuweka ila jamani hapa ni kituoni kabisa anayetaka anakuja kupaona
 
Bado Jamani,mje Wakati Ndo Huu wa kukagua nyumba kipindi cha mvua,nyumba dakika moja toka kituoni,dakika o kanisani,nje mlinzi parking ya kutosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom