Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Smartphones za kisasa kwa bei pouwa bado zinapatikana kwangu mzee wa kuvunja bei. Bei zangu ni pouwa mpaka utafurahi, Kwa maelezo zaidi nipigie, nitext au ni whatsapp kupituia # 0654776976...
1 Reactions
150 Replies
22K Views
*Samsung Galaxy S7* *32gb storage* *4gb ram.* *Simu bado mpya unapata na accessories zote.* *Bei TSH.500,000. Nicheki kwa 0625612638 au 0677888412* *Location: Dar Es Salaam*
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Price:720k Tsh. Simu ni mpya kwenye box lake,iko na full accessories,charger&earphone s6 edge+ 32gb 5.1" color:gold and black sapphire
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza vifaa vya Acer kutoka kwenye laptop yangu.. Bei maelewano.. Kuanzia kioo, Ac,hard disc(500GB),Ram na vinginevyo.. Location:Dar es salaam Mawasaliano:0718274828
0 Reactions
8 Replies
949 Views
Habar wana jf. Nahitaji gitaa la kununua ambalo halitumii umeme wapi naeza pata na bei yake ni kiasi gan?
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Nataka nianze biashara ya kuosha pikipiki na magari ila target kuu ni pikipiki kutokana na location ya biashara. Naomba kujua pressure washer machine ipi ni nzuri(brand) na bei yake pia...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Natafuta maduka kwa jijini Dar wanayouza nguo na vifaa vya kuogelea kwa wanaume. Kwa bei ya jumla na rejareja pia.
0 Reactions
10 Replies
6K Views
TANGAZO LA BIASHARA: UJUMBE MAALUM KWA WANAOWEKEZA KWENYE ELIMU Mmiliki wa Shule ya Sekondari ya NDAGARA yenye usajili S.1901 (2006) anatafuta mwekezaji wa kuinedesha. Shule ina kidato cha 1-IV...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenye nayo PM
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini wana JF, Nina mpango wa kufungua min supermarket hapa Dar sasa nilikuwa naomba kuuliza wapi naweza kwenda kupata bidhaa ambazo wengi wenye supermarkets wanaenda kuchukua na inakuwaje...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Nasafiri kwenda nje ya nchi kwa masomo zaidi nilikua nafanya business hii ya mpesa/tigopesa/airtelmoney. Natafuta mtu wa kumuuzia line zangu kwa bei ya laki moja kila line. Utapata na document...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwa mahitaji ya huduma za grapgics, website design na Video shooting wasiliana nasi Simu: 0656917171 website: www.believetech.co.tz Tazama baadhi ya kazi zetu kwenye website yetu na usisite...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta simu 1 Kati ya hizi either nokia e52 or e55 yenye kila kitu( earphone,charger,USB cable na if possible cd yake). Na kama ipo napata kwa sh. Ngapi?uki ni pm itakua jambo la kheri.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Madela ya mtumba na mitandio yake kwa shi 10000 tu kwa anaehitaj anitafte kwa 0710607606 au 0657709995 nipo dar..... unaletewa popote ulipo.na kwa bei ya jumla pia yapo...karibun sana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Container tupu la futi 40 linahitajika, container liwe katika hali nzuri, full documents na pia liwe LINAPATIKANA NDANI YA JIJI LA MWANZA. Mawasiliano: 0718 866 651 (call or whatsapp)..
0 Reactions
2 Replies
769 Views
wakuu kama kichwa cha habari kinanyo jieleza najitaji mtungi mdogo kwa anayeuza
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Simu aina ya Sony z2 inauzwa kwa sh 250k (Laki mbili na nusu tu)sifa zake ni Internal memory Gb 16 Camera mega px 20 Ram GB 3 Betri mAh 3200 Ina 4G Camera ya mbele Mp 5 Inatumia memory card Kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Wakuu, Nahitaji ushauri wenu kuweza kupata taarifa kuhusu upatikanaji wa Ardhi ukubwa wa Hekta 500 kwa ajili ya kilimo cha mihogo. Target hasa ni Mikoa ya Pwani, Tanga, Mtwara, Lindi na...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu Habar Nauza Playstation 2 ikiwa imechipiwa inatumia Flash, Zipo Mbili, Kwa Zote Nauza Laki Mbili Na Nusu. Kwa Maelezo Ni Pm, Napatikana Dar
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…