Pressure washer machine ipi nzuri?

Pressure washer machine ipi nzuri?

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,646
Reaction score
9,622
Nataka nianze biashara ya kuosha pikipiki na magari ila target kuu ni pikipiki kutokana na location ya biashara.

Naomba kujua pressure washer machine ipi ni nzuri(brand) na bei yake pia inapatikana wapi.

Nataka kuanza na 3000 PSI.
 
Back
Top Bottom