Pata vifaa vya Acer kwa bei chee

Pata vifaa vya Acer kwa bei chee

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,072
Nauza vifaa vya Acer kutoka kwenye laptop yangu..

Bei maelewano..

Kuanzia kioo, Ac,hard disc(500GB),Ram na vinginevyo..

Location😀ar es salaam

Mawasaliano:0718274828
 
Kioo cha Acer chenye ukubwa gani na unauza bei gani mkuu....
 
Acer zinazingua sana... Sina hamu nazo aisee zinakufa sana
 
Back
Top Bottom