Ashakuambia alilipia inaingia road kuelekea mkoaniIwe inatembea hiyo gari?
Mil 7 mbuzi used car? Wakati hizo X trail ya mwaka 2001 toka japan mpk hapa mil 10 unapataKhaa! Pesa yako mbuzi alafu masharti kibao. Kwa taarifa yako, hata Vitz namba D hupati kwa hiyo pesa yako...
Wiheka kiki?Hahahahahahahhaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nyela ndiheka wita lunofu