Natafuta nguo za kuogelea za kiume

Kutwa

JF-Expert Member
Aug 29, 2016
229
668
Habari wanajamvi,

Natafuta maduka kwa jijini Dar wanayouza nguo na vifaa vya kuogelea kwa wanaume. Kwa bei ya jumla na rejareja pia.
 
Haizidi timu ya watu 10, kofia, miwani, nk
$_84-4.jpg
 
Kariakoo kuna duka karibu na petrol station ya BigBon' wanauza vifaa vya michezo vya aina nyingi pamoja na hivo......
Pia kuna duka lipo sinza madukani.
Kutwa
 
Kariakoo kuna duka karibu na petrol station ya BigBon' wanauza vifaa vya michezo vya aina nyingi pamoja na hivo......
Pia kuna duka lipo sinza madukani.
Kutwa

Mkuu nimefika hilo duka, hawana vifaa vya kuogelea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom