Ya kichina K.koo jipya laki na 20, unaweza upgrade kwa kubadili string na kuweka za bei ya juu baada ya kununua. String ni kati ya tsh 25000 mpk 45000Habar wana jf. Nahitaji gitaa la kununua ambalo halitumii umeme wapi naeza pata na bei yake ni kiasi gan?
Duh ukihitaji zinazo tumia umeme nicheki nnazo mpya n'a used Toka denmark ni za nyuzi tano!Nna guitar effect piaHabar wana jf. Nahitaji gitaa la kununua ambalo halitumii umeme wapi naeza pata na bei yake ni kiasi gan?