Nauza Playstation 2

MTOTO KITAA

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
245
115
Wakuu Habar

Nauza Playstation 2 ikiwa imechipiwa inatumia Flash,
Zipo Mbili,
Kwa Zote Nauza Laki Mbili Na Nusu.

Kwa Maelezo Ni Pm,
Napatikana Dar
 
Wakuu Habar Nauza Playstation 2 Ikiwa Imechipiwa Inatumia Flash, Zipo Mbili , Kwa Zote Nauza Laki Mbili Na Nusu. Kwa Maelez Ni Pm, Napatikana Dar
pamoja na pad zake na memory card na flash yenye game? au
 
Wakuu Habar Nauza Playstation 2 Ikiwa Imechipiwa Inatumia Flash, Zipo Mbili , Kwa Zote Nauza Laki Mbili Na Nusu. Kwa Maelez Ni Pm, Napatikana Dar
Ungeweka na picha nadhani ingependeza zaidi na tangazo lako,lingekuwa limekamilka
 
Ps Moja Ina Pad 2, Na Waya Zake, Haina Flash, Na Ps Nyingine Ina Pad Moja, Haina Flash, Kuhusu Picha, Samahan Natumia Simu Ambayo Uwez Wa Kamera Ni Mdog Mno, Kuhusu Ubora, Utakuja Ofisin Kabisa,maana Zinapiga Kaz Kwenye Ofis Yang Ya Ps, Lengo La Kuuz Nataka Ninunue Ps 3, Asanten
 
Hizi za mkononi nazo za kuangalia sana,jamaa yangu kanunua haina mwezi imekufa power supply,ni aina ya Sony,amehaha balaa kutafuta power supply nyingine mwishowe kaamua kuitupia store...
 
Wakuu Kwa Hiyo Bei Haipungui, Ps Zinapiga Kaz Zipo Ofisin Kwangu, Pia Utakuja Kuuziwa Ofisin, Kwa Kuridhika Mwenyew, Leng La Kuuz Ni Kununua Ps 3, Kwangu Wateja Wanapenda Ps3,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom