Naulizia ni wapi nitapata jeans

Naulizia ni wapi nitapata jeans

ulaya12

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2017
Posts
834
Reaction score
908
Naomba kwa anayefahamu sehemu ambapo zinapatikana suruali aina ya jeans Kali kwa Dar
 
Nimesema kwa Dar, tumia akili kama huna akili nyamaza
 
Zamani tulikuwa na Levis,Lee , Wrangler hizi za sasa ni fake.Pale woolworth wanazo original.
 
Back
Top Bottom