Vifaa vya Stationery; Printer za EPSON L220 na L382 (ALL in One) zinauzwa.

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,601
4,087
Nauza printer zangu aina ya Epson Inkjet,
Kwa ajili ya matumizi ya stationery na ofisini.

Moja ni L220 na ingine ni L382.

Zinafanya kazi zote;
Printing, Copying, Scanning (Black & Colored).

Zinaprint na kutoa copies za rangi na nyeusi kwa logo, card na picha na documents mbalimbali.

---------
Hii L382 inahitaji maintance kidogo ya kusafisha nozzles.

Otherwise,
Zote zinafanya kazi kama kawaida.

Sababu ya kuziuza;
Nataka nipate hela ya kuongezea ili ninunue photocopier.

Bei,
L382 ni 290,00/=
L220 ni 270,00/=

Ni mali yangu halali,
Hakuna dalali.
Zipo Bagamoyo mjini,

Mawasiliano: 0786737923
1526808518288.jpg
1526808558404.jpg
1526808592072.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom