Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
KWA MWENYE KUNISAIDIA HICHO KIOO TAFADHALI N PM
Kuna fundi mmoja aliniambia kuwa vina patikana kariakoo ila bei yake daa bora kununua tv mpya,kwani nchi 32. Kioo tu ni laki 3!!!bado gharama ya fundi usafiri!!hiyo ya nchi 51!!!mmm!!ndio maana wengi ikija biashara ya kioo bora akanunue mpya tu!!kwani tofauti ni kidogo sana!!KWA MWENYE KUNISAIDIA HICHO KIOO TAFADHALI N PM