Nahitaji mashine ya kumenya karanga

Nahitaji mashine ya kumenya karanga

karim h

New Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
3
Reaction score
1
naomba msaada kwa anayejuamashine hizi upatikanaji wake na bei
 
Naweza kukuagia china mkuu, inachukua siku 30 tu mpaka kufika hapa. Tuwasiliane inbox
 
Tz zipo mkuu jaribu uliza maeneo yanye hichi kilimo utapata ufumbuzi zaidi
 
naomba msaada kwa anayejuamashine hizi upatikanaji wake na bei
Uko wapi?
Mashine zipo Kahama import and export commercial agency.
Wako Morogoro road/jamati street, Dar city centre. Pia wapo Kahama.
Mpigie sales officer 0713637735, 0784637735, 0754637735
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom