Wapi nitapata mapochi ya mtumba grade A

Wapi nitapata mapochi ya mtumba grade A

wa zion

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
223
Reaction score
486
Wapendwa naomba kuuliza kwa Dar es salaam ni wapi wanapofungulisha mapochi ya mtumba ningependa kupata ile grade nzuri kabisa 'A' wanaiita, najaribu kujinasua kwenye hii ajira nilipo. Ningependa kuanzia hapo.
 
Unataka bello za mabegi ya mitumba au wanapouza mojamoja?
 
wanapouza moja moja ambapo nitaweza kuchagua na hata nikijua wanapouza bello nitashukuru.
 
Mitumba mingi inayoingia sasa hivi niyakichina jiandae kupata mtumba fake.
 
wanapouza moja moja ambapo nitaweza kuchagua na hata nikijua wanapouza bello nitashukuru.
Kama ni mojaja nenda pale Ilala na kama unataka jumla nenda kwa wa Lebanon keko ilipokua coca cola zamani ni jirani na Lab equip, au nenda vingunguti plot yao ina pakana na OK Plast. Ukikwama sema nitakupa namba zao.
 
Asante sana mkuu.
 
Back
Top Bottom