mdaumzalendo1
Member
- Feb 2, 2018
- 76
- 50
Habari za Jioni;
Napenda kuchukua fursa hii kuwaalika watu wote wanaopenda kujifunza kutumia fursa zinazoletwa na tehama ili waweze kupata mafunzo maalum ya Ujasiriamali wa Kidijitali (Digital Entrepreneurshi).Mafunzo haya ni basic introduction huku yakiwa na fursa kibao.Mafunzo yatakuwa na mazoezi mbalimbali ambayo yatamsaidia mshiriki kufanya yafuatayo:

- Kuelewa misingi ya biashara ya kidigitali
- Kuweza kutengeneza tovuti yako kwa ajili ya biashara yako
- Kuweza kutumia zana mbalimbali na fursa mbali za kidigitali
- Katika Mafunzo haya yafuatayo yatafundishwa
- Basic Introduction to Computer Systems
- Operating Systems Over view
- Web Servers Overview
- Basic Computer Applications-Over view-Word process,spreadsheets and Presentation.
- Basic of Web Programming,html,css,php and java
- Content Management Systems CMS
- Business Automation,ERP,CMS and Accounting and Billing web application
- Understanding the Open Source World
- Understanding the webhosting Reseller Programs and Solution
- Basics of Computer Security
- Legal Aspects of the Web
- Mafunzo haya yote yanatolewa kwa gharama nafuu kabisa.