Nahitaji SNOW FOAM dawa ya kuoshea magari

Nahitaji SNOW FOAM dawa ya kuoshea magari

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,201
Reaction score
6,269
Habari wakuu,

Natafuta duka au mtu amabe anaweza kuniuzia hii dawa ya Snow foam kwa ajili ya kuoshea magari. Nilikuwa nanunua pale karcher lakini hawana tena na kila nkiwapigia simu wananambia kontena iko banadarini, mwezi mzima kontena haitoki maana inasemekana siku ya jumatatu kwenye wiki imefutika na wao wanasema kontena itatoka jumatatu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom