IZENGOB
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 323
- 317
Habari wakuu,nina ndoto za kufanya ukulima na ufugaji kuwa ndio ndoto yangu ya maisha,changamoto kubwa ni wapi nitapata mafunzo ya ukulima na ufugaji kwa muda wa miezi,mwaka mmoja au miaka 2.Shiida yangu ni kuiva kweli kwelikatika fani hii.Makazi yangu ni Dar es salaam Shamba ninalo hekari 3 na Kisima kirefu nilishachimba.