Nauza kuku wa kienyeji

Nauza kuku wa kienyeji

Butiyangu

Senior Member
Joined
May 19, 2018
Posts
123
Reaction score
168
Habari wana JF mm ni mjasiliamali wa kuuza kuku wa kienyeji, natafuta wateja ambao wanauwezo wa kununua kwa jumla, Nina kuku zaidi ya 150 majogoo kwa mtetea, nipo Dsm kwa mawasiliano zaidi piga simu 0713851851
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom