Nahitaji kugahami Bei za Simtank

Nahitaji kugahami Bei za Simtank

Joined
Feb 27, 2018
Posts
13
Reaction score
9
Wadau wa JF naombeni mnisaidie nijue bei za Simtank za ujazo wa litre mbali mbali.
Sana sana natamani kujua bei ya Simtank la litre 5000 (elfu 5).
Nitashukuru sana[emoji120]
 
lita 1000 tsh 150k
lita 2000 tsh 280k
lita 5000 tsh 750k
kama upo dsm jaribu kutembelea kituo cha mbele baada ya tabata relini ukiwa unatokea buguruni upande huo huo utakao shukia kuna kiwanda hapo unaweza kupata bei za kiwandani zenye unafuu zaidi,
 
Wooow. Asante sana . God bls u
 
Back
Top Bottom