Nauza bajaji iko mbeya mjini

Akili 2

JF-Expert Member
Jul 2, 2018
1,221
1,829
Natumaini ni wazima,,

Nauza bajaji iko mbeya mjini, iko katika hali nzuri haidaiwi chochote na watu wala mamlaka yoyote na haijapigwa rangi.
Sababu ya kuamuwa kuiuza ni usumbufu na karaha za madereva ninaowapa kazi ya kuendesha na kuniletea hela, nauza bei ya hasara tu ni Tsh 2,900,000/= ila maelewano yapo kwa atakaye kuwa tayari.
Kwa atakayekuwa tayari anaweza kuja kuicheki mwenyewe au akiwa na fundi wake mda wa wowote isipokuwa Usiku.
Mawasiliano.
unaweza unaniPM au ukanicheki kwa emaili akilimbili2018@gmail.com
blob.jpg
blob.jpg
blob.jpg
blob.jpg
 
miezi 5 tuu
Mkuu kuwa muwazi na mkweli. Kwanza kabisa Model ya hiyo bajaji ni ya kitambo hata muundo wake wa taa unaonyesha kabisa ni toleo la kitambo! Matoleo ya miaka ya hivi karibuni taa zake haziko hivyo. Pili kusema kwamba umetumia miezi mitano unaweza kuwa sahihi lakini si kwamba umetumia miezi mitano tangu itoke dukani labda tangu uinunue toka kwa mtu mwingine! Tatu bajaji ya model hiyo haiwezi kuwa rangi inayongaa namna hiyo labda kama uilinunua na kuiweka ndani tu haitumiki. Hiyo rangi inaonekana imepakwa upya na kwa mtaalamu wa haya mambo rangi ya kurudishia inatambulika tu wala haifichiki. Nne bajaji mpya ambayo imetumika miezi mitano haiwezi kuuzwa kwa hiyo hela mbuzi unayoitaja. Yaani ununue TVS King Mpya toka dukani 7.2 milion + gharama nyingine mpaka inakaa barabarani ni karibia 8m halafu itumike tu miezi mitano theni iuzwe 2.9 tu hata kama unadharura huwezi kuiuza kwa bei hiyo. Hilo nalo linathibitisaha kwamba hiyo bajaji ni ya kitambo.

HIVYO KUWA MUWAZI NA MKWELI MAANA UNAWEZA PATA MTEJA YUPO SEROUS KUNUNUA LAKINI AKISHAJUA KUWA UMEMDANGANYA ATAKUWA NA MASHAKA NAYO NA ATASEPA. SEMA UKWELI HATA KAMA IMETUMIKA MIAKA 3, 4, AU MITANO WATU WANAOHITAJI WATANUNUA TU ILI MRADI HIWE NZIMA! KADI YA BAJAJI HUWA HAIONGOPI LABDA KAMA HIYO BAJAJI HAINA KADI AU INA KADI FEKI!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom