Natafuta smartphone

Natafuta smartphone

Chrizo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
714
Reaction score
792
Wataalamu wa techs najua mtanisaidia katika hili,natafuta smartphone iliyo na sifa zifuatazo
1. Memory kuanzia 16 Gb
2. Iwe na quality camera
Bajeti yangu ni 300,000-400,000 Tsh
Ushauri wenu ni wa muhimu ktk kufanikisha hili
 
Inaweza kuwa 200k + au chini kidogo lakin ipo poa zaidi ata ya tecno k7 mi naona maana pic fresh display 5.5" kitu kama icho...
 
Wataalamu wa techs najua mtanisaidia katika hili,natafuta smartphone iliyo na sifa zifuatazo
1. Memory kuanzia 16 Gb
2. Iwe na quality camera
Bajeti yangu ni 300,000-400,000 Tsh
Ushauri wenu ni wa muhimu ktk kufanikisha hili
Kuna samsung note 4 imetumika miezi 5
Ram 3 GB
Memory 32GB
camera iko poa

Kama unataka njoo pm
 
Back
Top Bottom