Msaada wa soko la maharage ya kaki

Msaada wa soko la maharage ya kaki

akamik

Member
Joined
May 20, 2018
Posts
24
Reaction score
4
habari ya jion wanajamvi.naomba msaada wa KUPATA soko la maharage ya kaki
 
Mi ngoja nisubiri mwenye maharage ya cotton
 
Mkuu tupia basi picha kuna watu humu watakupa jina sahihi la hayo maharagwe na kisha watakuonyesha na soko. Hongera sana mkuu kwa kuwa na bidhaa ya kukupatia mapene. Usijali dhidi ya kauli zetu. Kuna wengine tumeboreka na biashara ya wanasiasa.
 
Punguza upumbavu kila mahali siasa?
 
Hilo soko halipo na hayo maharage YA KHAKI hatuyajui na haueleweki,umeandika upuuzi mtupu!
Kabisa,
Tangazo lenyewe halioneshi kiasi cha mzigo, mahali alipo, bei ya mzigo yaani ni upuuzi kwa kweli.
 
Back
Top Bottom