Kiwanda cha kutengenezea mifuko ya plastiki

Khaleed Shaban

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
399
Reaction score
58
Habari zenu wana JF
Naomba kuuliza kwa mwenye kufahamu mahali ambapo kuna kiwanda cha kutengeneza mifuko ya plastiki au ya nailoni kwa hapa Dar es salaam
Ahsanteni
 
usiulize bidhaa inayokera majority ya watu! it has been years wananchi wanaoma hizo kampuni zinazotengeneza mifuko ya plastiki ifungwe. wewe unaibuka na kutafuta kampuni hizo. unakera!
Endelea kukereka majority wanatumia bidhaa hizo hizo
Ibuka na bidhaa mpya biashara zifanyike
Siyo unaropoka tu.
 
Mifuko imeuwa samaki sana
Ingefungwa kabisa
Haina faida na sisi na kwa viumbe wengine
 
Endelea kukereka majority wanatumia bidhaa hizo hizo
Ibuka na bidhaa mpya biashara zifanyike
Siyo unaropoka tu.

kuna ubunifu mwingi tu unaweza kufanyika. Serikali ipige marufuku bidhaa hizo. Atakaekamatwa anatumia mifuko hiyo jela miezi mitatu.
2/ Kampuni ya kutengeneza khanga itengeneze cheap mifuko ambayo inaweza kutumika kama mbadala wa mifuko hiyo. Kampuni hizo zinaweza hata kutumia reject khanga au vitenge kwa shughuli hizo. But ili haya yaweze kutkelezeka Januari Makamba apelekwe Wizara nyingine. Ni Msomi mzuri lakini kwa hili kashindwa. Walau Makonda anakuja na mbinu zitakazoweza kutatua tatizo hili eg wazo la kutumia vijana wa JKT katika kusafisha jiji letu (including hiyo bidhaa iliyolaaniwa ya plastiki!)
 
Be the change you want to see
 
Habari, ninafanya kazi kwenye moja ya kiwanda unachohitaji. Unaweza nicheki kupitia 0685065905
 
Back
Top Bottom