KWA KUWAJALI WATEJA WANGU NA KWA KUZINGATIA HALI YA UCHUMI ILIVYONGUMU KWA SASA VUNJA BEI MATELEPHONE NIMESHUSHA BEI YA SIMU:
Sasa utajipatia smartphones za kisasa, Originals tu kwa punguzo la...
Kuna mtu anakodisha gari yake kwa ajili ya makampuni(hotel,escorting car, utalii, harusi n.k)
Gari ina siti za watu saba, lipo katika mazingira mazuri na ina muonekano bomba.
Malipo ni...
Kama upo dar na una mashine ya selcom au maxmalipo unaiuza na haina tatizo lolote nakuomba pm na bei yako
NOTE:najua kuwa kwa mawakala zipo na bei zao nazijua so naomba bei yako isifanane na wao.
Ndugu wana jamvi Nina gunia elfu NNE za mahindi Dodoma ,Naomba kwa anae jua soko la nnje ya nnchi au kama kuna wanunuzi wakunifata nilipo daodoma tuwasiliane.
Natanguliza shukrani zangu za zati.
2.5 Acres, Beach/Sandy plot for sale at Buyuni- Kigamboni .(45km from Feri kigamboni, and 500mtrs from the sea).Has clear Local documents! 1 acre for Tsh 12M.Cont; 0683715304
Habari wanajamvi!
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu, nipo Tabora, bei iwe 150k mpaka 170k ,
Mwenye nayo anicheki hapa iGod@myself.com
sisikero@keromail.com
Au WhatsApp +255743177037
pesa mfuko wa shati.
nahitaji pikipiki aina ya tvs125/150
iwe na vibali vyote
isiwe ina daiwa
kadi original
isiwe imewahi kufunguliwa injini..
pia kama kuna yeyote anauza hero dawn cc125/150...
Brand :Huawei Honor
Model 5C
Network 2G 3G 4G lTE
RAM 2GB
ROM 16GB
Battery mah 3000
Camera 13mp
Fingerprint sensor
Size 5.2
Bei :180k
Nipo dar
0769345663
NI SHULE YA INAYOZINGATIA MAADILI YA KIDINI NA INA MILIKIWA NA KANISA KATOLIKI JIMBO LA MUSOMA,TUNAKARIBISHA MAOMBI KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA WAAMIAJI KWA KIDATO CHA SITA 2018,KWA...
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nna shida ya Mita ya LUKU mwenye nayo aniuzie ili niifunge kwenye nyumba ninayoishi, kuna utata Sana kwenye kulipa umeme Kwa siku 4 umeme wa elfu 25 umeisha...
Inspiron 3135
3000 series
HDD 500GB
RAM 4GB
PROCESSOR AMD A6
Touch screen
Haina cd rom
Web cam
Window 8 enterprises.
Battery 5hrs.
Discount ipo, njoo tufanye biashara kama uko interest. Bei 350k.
wadau nahitaji wanunuzi pc zenye matatizo ila zinafaa kutengeneza kigezo wapatikane dar
kuna pc mbili
KAMA UNA BIDHAA YA MABADILISHANO NICHEKI (SMART PHONE/CAMERA/PROJECTOR)
1.
hp probook core 2...
MCT TANZANIA MOTORS
Habari zenu wateja wetu,kwanza tunashukuru kwa wale mnaopiga simu kuulizia magari na kuagiza kupitia kampuni yetu.Tunapenda kuwakumbusha bado gari zipo kwenye bei ya...
Wadau mabo vp natafuta deck za vhs ikiwezekana iwe combo au single vhs player ili mradi iwe na uwezo wa kuplay vhs na iwe katika hali nzuri na kufanya kazi bila matatizo nina shida nayo kinoma
UPDATES: Bei ya punguzo:350,000/=
PROJECTOR MPYA!
Imewasili,ipo DSM. Bei 450,000/= Ipo ndani ya box lake, Nzuri kwa ajili ya nyumbani kwako kuangalia mpira,Tamthiliya nk, pia nzuri kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.