Paul M.
Member
- May 18, 2015
- 9
- 2
Mimi ni fundi simu wa Muda mrefu, kwa sasa naishi mbeya willaya ya Mbarali. Nauliza gharama za spair bei ya Jumla. Vifaa ninavyohitaji ni speaker, Mic, Display za aina zote, sit cover, Housing, Motherboard na vingine vingi. Nauliza nikiwa na shilingi ngapi naweza kupata mzigo wa kutosha, Na sehemu gani vinapatikana.
Contact: Email: paulmohamed48@yahoo.com Mob. 0764768676
Contact: Email: paulmohamed48@yahoo.com Mob. 0764768676