MUBIKU
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 284
- 388
Wakuuu bila kupoteza muda ,kichwa cha habar kinavyojieleza nahtaj mtaalamu wa vipimo na raman mwenye raman za nyumba ndogo ya vyumba v3,jiko,sebule na vyoo ndan .chumba kimoja kiwe master. nyumba isizid tofali 2000, Email . emmanuelmwandosi@gmail.com