Nauza 3d Vr box kwa Tsh 40000

Nauza 3d Vr box kwa Tsh 40000

1gb

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
2,392
Reaction score
3,285
Habari!?.
Kwa wale wanaopenda Ku experience Virtual Reality Android games or videos.
Basi hiki kifaa ni muhimu uwenacho,
Simu janja ina maujanja kibao pengine mengine hujawahi kuyaona.

Nauza 3d Vr box kwa Tsh 40000..
Ni mpya kabisa.

Nipo Dar.
Namba nicheki PM,tuelewane.
1%20(1).jpg
 
Kazi yake ni nini
Mkuu Jembekileo.
VR 3D
Ni tecnolojia mpya ambayo inamuwezesha mtu kucheza game,kuangalia video 3d n.k
Ni kifaa ambacho mtumiaji anakivaa kichwani kikiwa sambamba na macho yake.

Kiswahili hakijitoshelezi kuelezea.
Lkn acha niweke link ambazo ni rahisi kuelewa na pia namna ya kutumia..
Nimejaribu kutafuta maelezo ya kiswahili,nikakutana na thread ya mwaka 2016 ambayo inaelezea teknolojia ya 3d kwa kutumia glass maalumu.
Humo kuna maelezo ya VR 3d box.

"Uzi"

Onja video ya 3d kwenye screen ya computer yako - JamiiForums

Mkuu utakuja
Ni moja ya watu walio experience hii kitu.
Nimemtag aje atupe maelezo kidogo,au aanzishe thread kabisa kwa faida ya wengi.

"Namna ya kutumia"



Maelezo.
A virtual reality headset is a heads-up display (HUD) that allows users to interact with simulated environments and experience a first-person view (FPV). VR headsets replace the user’s natural environment with virtual realitycontent, such as a movie, a game or a prerecorded 360-degree VR environment that allows the user to turn and look around, just as in the physical world.

Although virtual reality has been around for years, the tethered hardware to experience it has traditionally been expensive, bulky and power-hungry. Today, mobile VR headsets, which are basically goggles that will hold a smartphone, have allowed VR apps to spread into the consumer market. The goal of each type of VR headset is to provide the viewer with an experience that is so real, the headset itself is forgotten.

VR apps for both mobile and tethered apps incorporate technology such as gaze tracking, IR sensors, gyroscopes and accelerometers to move the user’s point of view in a natural manner. Mobile apps often include stereo sound, while tethered apps may feature surround or even 3D sound.



Mwisho.
Kifaa nimeshakiuza tayari.
Kwa wale walionitafuta pm nimewaaambia.
culos-cardboard-3d-vr-box-culos-de-realidade.jpg
images%20(1).jpeg
images.jpeg
images%20(2).jpeg
 
Baada ya 2 yrs tukapme presha ya macho.
Then tuanze medication za eye
Kwa sababu ya uvamizi wa macho kwa njia ya teknolojia.
Hahahahaa great thinker.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom