Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari za leo Natafuta gari Toyota Crown Athlete series Mwaka: Kati ya 2004 mpaka 2008 Engine isizidi 2500Cc Iwe ni 4WD (Kwa sababu mara chache chache huwa nasafiri kwenye barabara zenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anayeweza kuniletea mahindi au nipate mahindi kwa bei ya chini kama gunia tano kwa ajili ya matumizi ya nyumbani . Bei zipoje kwa watu wanaosafirisha tokea mkoani? Ni pm kama unayo
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Habarini wadau nahitaji nyumba maeneo ya Mikocheni chumba na sebule jiko kwa bei ya laki na nusu naombeni Msaada anayejua
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Subwoofer iwe mali halali bei isizidi elf50 [emoji338]0766 8571 20
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nahitaji kitanda cha chuma chenye vipimo tajwa hapo juu, kiwe kizima na hakijachakaa ntatoa 180k
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Simu ni mpya ina 16 gb 270 maongezi kidogo yapo Call: 0712756342
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za leo wapendwa Naona makampuni kibao yanatangaza kuuza viwanja kwa njia za mikopo ambayo unaweza kulipa hata kwa miaka mitano.Nimekuja hapa nataka kama kuna anaejua kampuni yoyote...
1 Reactions
26 Replies
9K Views
Kwa mahitaji zaidi wasiliana nasi kupitia namba hizi 0714453589 0621711451 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Lipo Kiwangwa kwenye kijiji kinaitwa Masugulu. Lina ukubwa wa eka 30, eneo ni zuri kwa uwekezaji wowote. Bei ni TZS M40. PM kwa maelezo zaidi na negotiations. Akhsante.
0 Reactions
3 Replies
846 Views
Wadau kwema, Nipo katika mchakato wa kufanya utafiti juu ya soko la miwa kwa hapa Dar es salaam. Kuna mambo ambayo ningependa kuyafahamu kwa wale wenye uzoefu na ufahamu mtakuwa msaada sana...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Wadau mwenye uhitaji wa kuku wa kienyeji kutoka SGD tuchekiane nauza kuku wa kienyeji pure ambao tunawakusanya Vijijini bei nafuu kabisa majogoo na makoo tunasafirisha kwa waliopo mbali uaminifu...
2 Reactions
31 Replies
10K Views
Tatizo hili limekuwa likiwaadhiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baada ya kujiona wapo tofauti sana na wengine kwa kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi 6-8 kwanza upungufu wa...
1 Reactions
59 Replies
21K Views
Kama kichwa kinavyojieleza... Nahitaji flat screen kabila la LG, Rising au Home base LED inch 32. Nina 320000. Kwa Mwenye quality products nichek whatsapp no 0757250913. Niko Songea. Naomba...
0 Reactions
3 Replies
724 Views
Habari wana jamvi na wakazi wa mwanza,, Ninayo furaha kuwatangazia duka la vifaa vya hardware na vifaa vya umeme katika mtaa wa rwagasore next to Mayi Hotel. Tunauza power tools aina za makita na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wana jukwaa nahitaji compacter mashine ya mkono kwaajiri ya kushindilia kwa yeyote anayejua namna ya kuipata anijulishe
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari za kazi wanaJF Ningependa kutangaza upatikanaji wa huduma za kiufundi kwa wenye trekta na vyombo vinginezo vya ukulima kama vile combine harvester, generator, pump na kadhalika. Tatizo liwe...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavosema.. Nataka kuprint karatasi Size=a4 Coloured Matilio=hard papers zile kama wanazotumia kwa kalenda au bussness card Pia napenda kujua gharama ni ngapi per...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu hapa jukwaani. Nina jumla ya kilo 4662 stoo za ulezi safi uliokobolewa nauza kwa kila kilo Tsh 1050/= .Napatikana Dar es Salaam. Mnunuzi au yeyote mwenye uhitaji twaweza...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jipatie mtambo wa Solar utokane na changamoto za mishumaa na aina zingine za taa sumbufu. Wasiliana nami kwa namba 0754-533543 upate utaratibu wa kukopeshwa mtambo kwa masharti nafuu. HIZI NDIZO...
2 Reactions
39 Replies
16K Views
Page 1 of 2 11 Septemba 2018 TAARIFA KWA UMMA Kampuni ya Maxcom Africa PLC – Maxmalipo inapenda kuutaarifu umma kwamba, imeongeza huduma mbalimbali kupitia kwa mawakala wake wote wa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…