Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa wale wenzangu mliokuwa na blog na mnaendesha maisha yenu kwa bloging na kulipwa na Adsense ni kwamba hiyo kampuni inakwenda kufilisika na sasa ina Ban publisher hasa wanaotola nje ya USA...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Jipatie Mbuge lavender hand wash(anti bacteria) kwa bei nafuu .. Jumla Tsh 23000 dozen na rejareja Tsh 2500 watu wa DSM na kibaha unaletewa adi mlangon na mikoan tunatuma .. Whatssap 0752120647...
1 Reactions
2 Replies
554 Views
habari wataalam!! naitwa Derc, ninauza mabanzi(papara), yanayotoka njombe. hili soko nimelilenga kwa wateja wa DSM(DAR ES SALAAM) ninauza kila banzi sh.3000/= kwa jumla. mzigo ni mkubwa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kiwanja kinauzwa Tabata kinyerezi mwisho shule. Kina umbali wa dakika 2 kutoka kwenye lami. Kina mahitaji yote maji na umeme. Ukubwa 400sqmtr. Kina hati ya mauziano ya serikali za mitaa 0717022737...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Vyote vipo kando ya barabara za mitaa.Miundombinu ya umene na maji(DAWASCO) vipo tayari.Havijapimwa ila vipo kwenye eneo lilipangika kimitaa vizuri. 1.Upana mita 25*35 mita urefu.Ukitaka nusu...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza ningependa kujuzwa bei za jumla za hivi vyombo Disposable glass Disposable coffee cup Disposable spon and fork Disposable plate
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kiwe sehem nzuri, kinachofikika majira yote, Goba,matosa,tegeta A,bunju of a yangu 10m, kama unacho njoo Pm.
0 Reactions
4 Replies
894 Views
Wakuu Habari, Kwa vijisenti ninavyopata job, nimeona nianze kuwekeza kulima heka moja ya kitunguu. Nimelima huko Mpwapwa, kwa sasa naweka Mbolea. Nalenga nije kuuzia huku; ilala, Temeke, K/Koo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Na forward taarifa tu kama nilivyo pokea.. 125 cc.. Gia 5.. Milioni Mmoja na Laki Mbili.. Haija tembea sana.. Iko Arusha.. If interested: Mpigie Mohamed: 0786-843829
0 Reactions
4 Replies
1K Views
HP Pavilion DV4 for sale! The Laptop is used but it's still in an excellent condition. Specifications: Intel Dual Core, 2.20ghz, 4gb Ram, 500gb Hdd, Screen 14.1 Inch Screen. HP Pavilion DV4...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Bei yake ni 350,000/- kwa atake hitaji anichek kwa 0714787658
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu kwanza nitangulize Salamu kwenu .Wakuu kuna wazo limenijia nikalitafakari nakuona ni-share na nyie ,kama mnavyojua kuwa ajira saiv zimekuwa ngumu sana cha msingi ni kuangalia namna ya...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Naulizia anayeuza hii
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tumia mchanganyiko huu wa viungo asilia kwa ladha nzuri ya chai yako na afya bora..weka oda yako sasa.piga 0754955846.sh 3000..MORNING ARE JOYFUL WITH JOY TEA MASALA...karibuni
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari wana JR ! Kiwanja kinauzwa maeneo ya kigamboni Chenye ukubwa wa sqm 555 , kina hati na bei Tsh 9,000,000/= hakina dalali maelewano yapo pia . Ni pm kama kama utakua interested.
1 Reactions
9 Replies
952 Views
Je wewe ni mtu wa kuchat sana na unakosea herufi mara nyingi ukitumia simu za touch zisizo na physical keyboard? Simu hii ikiwa na full qwerty keyboard inayokuwezesha kuandika kwa uharaka zaidi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari Wapendwa, Kama kichwa Cha Habari Kinavyosema, Natafuta Simu Samsung Galaxy Note 8+ na Budget Yangu Ni Tsh Mil 1.2
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu kwema, nahitaji gunia 100 ya alizeti aliyenayo aweke bei yake hapa gunia au kwa kilo ni sh ngapi anauza na mahali ilipo.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Karibu ujipatie mbeleko za kisasa, ongeza raha ya kubeba mtoto wako kwa kupendezesha muonekano wenu pamoja. Ritte Baby Sling itakurahisishia kumbeba mtoto mpaka mwenye 15kg... Wakati Ritte Baby...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu naomba msaada wa kupata charger original ya HTC ONE M8 Charger yake niliyonunua pamoja na simu nilisahau guest house mjini DSM napatikana mbeya kwa sasa,Mawasiliano 0788643144...
0 Reactions
2 Replies
733 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…