Mabanzi ya kujengea mabanda yanauzwa

Mabanzi ya kujengea mabanda yanauzwa

delglo

New Member
Joined
Sep 13, 2018
Posts
1
Reaction score
0
habari wataalam!!
naitwa Derc, ninauza mabanzi(papara), yanayotoka njombe.

hili soko nimelilenga kwa wateja wa DSM(DAR ES SALAAM)

ninauza kila banzi sh.3000/= kwa jumla. mzigo ni mkubwa. anayehitaji nicheki kupitia 0758870639.
 
Sawa ila kwa ushauri wangu tu, hiyo bei ni kubwa. Huku majohe katika maduka ya vifaa vya ujenzi rejareja yanauzwa tsh2500, sasa jenga picha mtu kwa bei ya jumla umuuzie tsh3000, alafu yeye atauzaje?
 
Yani hata mm nashangaa bei imezidi mpaka za hardware Fanya tafiti kwanza ujuwe washindani wako wana uzaje reja reja arf ndo useti bei yako ya kuuza kwa jumla
 
Back
Top Bottom