Blogger mnaotafuta fedha online achana na Adsense jiunge Propeller kuna maisha mapya

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,390
PROPELLER.jpg
Kwa wale wenzangu mliokuwa na blog na mnaendesha maisha yenu kwa bloging na kulipwa na Adsense ni kwamba hiyo kampuni inakwenda kufilisika na sasa ina Ban publisher hasa wanaotola nje ya USA. Afrika na India ni walengwa wakubwa. Sheria zao mpya ni kwamba hupaswi kuwa unategemea single traffic tena ya facebook. wao wanataka site iwe inategemea traffic ya SEO kwa asilimia zaidi ay 80. Kutokana na hali hiyo maisha ya blogger yamekuwa ya shida sana hasa Africa maana site nyingi zinafungiwa matangazo kila siku.

Suruhu ya yooote ni kujiunga na kampuni ya Propeller ambayo sasa ndiyo mkombozi na uzuri wa propeller wanalipa zaidi kwa CPM ya South africa kuliko ya USA. Ukiwa na watembeleaji zaidi ya 10k unao uhakika wa kupata dollar 20-50 kulingana na CPM ya siku hiyo.

Achana na Adsense jiunge propeller..

Tembelea site yao jisajili kama 'publisher' enjoy life site hiyo hapo
Propeller Ads – Display and Mobile Advertising Network j
 
Kwani kuna ulazima gani wa kuiponda Adsense, ungeipigia tu promo hiyo propeller na watu wangekuelewa tu
 
Kwani kuna ulazima gani wa kuiponda Adsense, ungeipigia tu promo hiyo propeller na watu wangekuelewa tu

Hata mimi nilikuwa na mawazo kama hayo ndg yangu. hadi sasa Adsense ninazo account 3 kwa site 3 tofauti na uzi nimelipwa lakini kwa Propeller ni habari nyingine ndg yangu. siku ukitambua hilo ndiyo utauaga umaskini.Najuta kupoteza muda na presha ya kufungiwa. Waulize hata hao JF na Mwananchi adha ya Adsense watakueleza.

Kama ndiyo umeanza adsense kimbia haraka
 
Weka hizo site tatu mkuu mimi niko USA nitakuongezea impressions hata dola2 utapata. Nazisubiri site hizo.
 
Weka hizo site tatu mkuu mimi niko USA nitakuongezea impressions hata dola2 utapata. Nazisubiri site hizo.

on public siwezi. single IP ikibonyeza mara 3 account inafungwa ndg. labda huko USA .sisi hapa ni majanga. thats why watu kama millard ayo walishafungiwa. Adsense kwa sasa sisi ndiyo mkobozi.
 
Kwani kuna ulazima gani wa kuiponda Adsense, ungeipigia tu promo hiyo propeller na watu wangekuelewa tu

Sijaiponda Mkuu ndiyo ukweli. kama unatumia adsense ipo siku utaelewa maneno yangu. kama unatumia adsense na unategemea traffic ya fb punde wata-disable account
 
Sijaiponda Mkuu ndiyo ukweli. kama unatumia adsense ipo siku utaelewa maneno yangu. kama unatumia adsense na unategemea traffic ya fb punde wata-disable account
You don't know the technics, take your time to learn
 
Mi naomba nisaidie jinsi ya kuanzisha blog... Niliwai fungua huko nyuma ata sielewi nilichokua nakifanya. Naomba msaada wako mkuu!
 
View attachment 474746 Kwa wale wenzangu mliokuwa na blog na mnaendesha maisha yenu kwa bloging na kulipwa na Adsense ni kwamba hiyo kampuni inakwenda kufilisika na sasa ina Ban publisher hasa wanaotola nje ya USA. Afrika na India ni walengwa wakubwa. Sheria zao mpya ni kwamba hupaswi kuwa unategemea single traffic tena ya facebook. wao wanataka site iwe inategemea traffic ya SEO kwa asilimia zaidi ay 80. Kutokana na hali hiyo maisha ya blogger yamekuwa ya shida sana hasa Africa maana site nyingi zinafungiwa matangazo kila siku.

Suruhu ya yooote ni kujiunga na kampuni ya Propeller ambayo sasa ndiyo mkombozi na uzuri wa propeller wanalipa zaidi kwa CPM ya South africa kuliko ya USA. Ukiwa na watembeleaji zaidi ya 10k unao uhakika wa kupata dollar 20-50 kulingana na CPM ya siku hiyo.

Achana na Adsense jiunge propeller..

Tembelea site yao jisajili kama 'publisher' enjoy life site hiyo hapo
Propeller Ads – Display and Mobile Advertising Network j

tuwekee machache hap (HINTS) kuhusu propeller, maana najua propeller wadau wanasema unawezapiga kazi mwaka mzima ukaambulia $0.01 kwa mwaka. sasa sijui wewe unategemea Traffic ya TZ au ya wapi na unapata traffic kupitia FB au?
 
Nimefanya adsense miaka 10 sasa ninajua mbinu zote mpaka za code nk kutoka India nk. Najua kila kitu lakini wale jamaa kwa robot ni balaa.

Nimefanikiwa sana kupitia adsense nilikuwa napata mpaka dollar elfu 7 kwa mwez
 
tuwekee machache hap (HINTS) kuhusu propeller, maana najua propeller wadau wanasema unawezapiga kazi mwaka mzima ukaambulia $0.01 kwa mwaka. sasa sijui wewe unategemea Traffic ya TZ au ya wapi na unapata traffic kupitia FB au?

Wengi wanakosea kitu kidogo sana.

issue kubwa ni kwamba inabidi uhakikishe unashare sana kwa siku kama 5 za mwanzo iwapo traafic yako siyo stable au hautegemei SEO . pia kingine ni namna ya kuset ads nk. ingia humu Propeller Ads – Display and Mobile Advertising Network
na soma zaidi
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Email gani yatakiwa kuweka na website
Coz numeweka yangu na my website but inasema invalid
 
Back
Top Bottom