Natafuta Soko la Kitunguu au madalali kwa Dar.

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Wakuu Habari,
Kwa vijisenti ninavyopata job, nimeona nianze kuwekeza kulima
heka moja ya kitunguu. Nimelima huko Mpwapwa, kwa sasa naweka Mbolea. Nalenga nije kuuzia huku; ilala, Temeke, K/Koo na maeneo mengineyo.
Swali langu, je kuna madalali ambao huwa wananunua mzigo kwa bei ya jumla? Nikiwapatia mzigo wote, na wakanipa pesa yote papo kwa hapo.
 
madalali hawanunui mzigo, wana ku link na wanunuzi
 
Utalia mkuu usijiloge kupeleka mzigo dar maana Nina ushuhuda wa watu wangu wa karibu wawili ambao wamelizwa na madalali wakaanza kuhangaika nao kwenye vituo vya polisi

Nakushauri uzia mzigo shambani, huko unapo lima uliza wakulima wenzio wakuunganishe na wanunuzi wanaokuja mashambani. Kama utaamua kuuza kwa madalali wa dar waambie waje kuchukua mzigo shamba wenyewe na pesa wakupe upfront

Mwisho siku nyingine usiingie kwenye kilimo bila kujua soko. Changamoto kubwa ya kilimo ipo mwishoni kwenye soko, it's either hutopata soko mpaka mzigo utaoza au utapata soko ambalo bei yake sio nzuri. Kila la kheri
 
Asante Mkuu kwa maoni yako Mkuu. Nimekuelewa.
 
Jana Kariakoo gunia limeuzwa kwa wastani wa 130,000
 
Kiongozi ulipata mnunuaji wa kitungu chako? Nipe mrejesho ulifanyaje nami ninakitunguu nataka kuuza
 
Back
Top Bottom