Natafuta Transformer used ya 800-1200KVA

Natafuta Transformer used ya 800-1200KVA

BIGURUBE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
6,748
Reaction score
4,258
Wakuu, Nahitaji transformer used kubwa kwa ajili ya kiwanda. Iwe nzima na inafanya kazi
Ikipatikana kati ya 15/10/2018 itakuwa bora zaidi.
Mawasiliano 0764931111
 
Mkuu hyo 800-1200kva ni size ya transformer
Sasa voltage unayotaka ni range gani Je ni 33kv to 400
Au 11kv to 400
Nijibu tujue tnafanyaje?

Ova
 
Kuna some changes...Tunahitaji 1500KVA (1.5MVA)
 
Weka dau mkuu tuishushe moja mjini hapa...
Maana naona ziko nyingi tu hazina hata walinzi.
Weka dau nikuletee mzigo
 
Ngoja ntakupa majibu muda si mrefu

Ova
 
IPO 1200kva 33kv to 400v bei Tsh 50Million
Edimund%2020180822_220148.jpg
IMG-20180821-WA0064.jpg
 
Back
Top Bottom