Supervision
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 265
- 203
Hellow,mambo vip wanajukwaa,mimi ni mwandishi wa vitabu mbalimbali vinavyohusu mtazamo chanya katika maisha,nimekwisha andika vitabu kadhaa lakini ndoto yangu kubwa ni kuviuza kimataifa kupitia makampuni makubwa duniani.
Ninaomba mwenye kufahamu kampuni ambayo duniani inahusika na kuuza vitabu hivi anisaidie jinsi ninavyoweza kuviuza.Napenda niweze kuuza kokote duniani.
Nawasilisha
Ninaomba mwenye kufahamu kampuni ambayo duniani inahusika na kuuza vitabu hivi anisaidie jinsi ninavyoweza kuviuza.Napenda niweze kuuza kokote duniani.
Nawasilisha