Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,734
- 3,652
Tafadhali natafuta broiler aliyetayari kuliwa maeneo ya Mbezi na Kimara.
Bei ni tsh 5500 kushuka chini.
Bei ni tsh 5500 kushuka chini.
Wapo wakutosha mbezi GobaTafadhali natafuta broiler aliyetayari kuliwa maeneo ya Mbezi na Kimara.
Bei ni tsh 5500 kushuka chini.
sehemu gani na nani anauza, kama una mawasiliano mkuu itakua poa sanaWapo wakutosha mbezi Goba
Hivi bado mnawala hao kuku taahira?sehemu gani na nani anauza, kama una mawasiliano mkuu itakua poa sana
sana mkuuHivi bado mnawala hao kuku taahira?
nami nashangaaHivi bado mnawala hao kuku taahira?
Umeona enhe??Kuku anakua kwa PANADOL na KOFLYN, halafu kesho mje mtulilie JF mnahitaji msaada wa kurudisha nguvu za kiume [emoji18]